Mwongozo wa vitendo, taarifa muhimu, utafiti wa hivi karibuni – na zaidi!
Hapa utapata anuwai ya nyenzo muhimu. Mwongozo wa vitendo, taarifa muhimu, utafiti wa hivi punde – na zaidi!
Iwe wewe ni mzazi, mlezi, mtaalamu wa elimu, mtu mwenye ,uziwikutoona au mtu anayependa kujifunza zaidi kuhusu uziwikutoona, utapata nyenzo mbalimbali muhimu zinazohusiana hapa.
Chuja matokeo
Chujio
Orodha ya rasilimali
Namna ya kumfundisha mwanafunzi mwenye uziwikutoona
Video ya mwalimu wa kitengo maalumu akielezea namna kumfundisha mwanafunzi mwenye uziwikutoona.
Darasa la mwanafunzi mwenye uziwikutoona
Video ya mwalimu wa kitengo maalumu akielezea namna ya kuliweka darasa la wanafunzi wenye uziwikutoona.
Hadithi ya mwalimu Adrian Maula
Adrian Maula ni mwalimu katika Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, akieleza umuhimu wa Global Deafblindess Resource Hub katika kutoa vifaa vya kufundisha na elimu tangu kuanzishwa kwa kituo hicho. “Naitwa Adrian Maula ni mwalimu wa kitengo cha wanafunzi wenye ulemavu hapa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko. Siku yangu…
Hadithi ya Mama Mahdi
Kitovu cha kimataifa cha rasilimali za uziwikutoona kimekuwa na mchango kiasi gani tangu kuanzishwa kwake.
Agnes – binti mdogo anayeishi na ulemavu (video)
Maisha ya Agnes ambaye amekuwa akikabiliwa na changamoto nyingi kuhudhuria shule kabla ya kupokea kitimwendo kilichobadilisha maisha yake.
Watoto wanaoishi na uziwikutoona
Shughuli za kila siku za watoto wanaoishi na uziwikutoona.
Festo – Kijana mwenye uziwikutoona, Tanzania
Video ya kijana mwenye uziwikutoona akijiingizia kipato kwa kufanya shughuli ya utengenezaji wa vikapu.
Philbert – Kijana mwenye uziwikutoona kutoka Tanzania
Ujumuishaji wa vijana wenye uziwikutoona kwenye shughuli za kiuchumi.
Njia za kuwasiliana na mtu mwenye uziwikutoona
Kuna maelfu ya njia za kuwasiliana na kuunganishwa - iwe kwa hotuba, lugha ya alama, mguso, harakati, ishara, sauti, picha, vitu au vifaa vya kielektroniki.Kumbuka, bado hujachelewa kuanza kujifunza njia mpya ya kuwasiliana. Nenda na usijali kuhusu kukosea.
Uziwikutoona ni nini
Ukurasa huu unakueleza uziwikutoona ni nini. Pia unashughulikia aina tofauti za ,uziwikutoona sababu zake kwa watoto wachanga na watu wazima, utambuzi, viashiria vya Uziwiupofu, kutibu visababisi vya msingi na kudhibiti hali hiyo.
